,,,,

bar

Showing posts with label Uhusiano. Show all posts
Showing posts with label Uhusiano. Show all posts

Thursday, 30 April 2015

UHUSIANO: Fahamu jinsi ya kumgundua mpenzi wako aliyekusaliti muda mfupi uliopita.

 Image result for love relationship imagesKUNA BAADHI YA WATU WANAYATENDEA HAKI MAPENZI; WAPO MAKINI KWA KILA KITU KATIKA UHUSIANO WAONA HIVYO KUWA KAMA WANAISHI KWENYE PARADISO YA PEKEE. PIA, WAPO WENGINE AMBAO WANAYAONA MAPENZI MACHUNGU, WANAYACHUKIA NA KWA HAKIKA WANALAANI KUKUTANA NA WENZI WALIONAO. Kwa nini?

Sunday, 5 April 2015

Utafiti:Ni sawa kwa wazee kuwa na vijana

                                                                            

Utafiti mpya umewaunga mkono wanawake wazee walio na wapenzi vijana.

Utafiti huo unasema kwamba wanawake wazee wanaotaka kupata watoto ni sharti watafute vijana wadogo.
Huku tafiti nyengine zikishindwa kubaini iwapo wanaume hufikia miaka ya kushindwa kuzaa,utafiti huu mpya kutoka Chuo kikuu cha Mc Gill nchini Canada umegundua kwamba ni vigumu kwa wanawake wazee kupata watoto na wanaume wa rika lao.
Utafiti huo unasema kuwa ijapokuwa wanaume hawana kiwango cha mwisho cha kutafuta watoto,fursa hiyo hupotea kila miaka inavyozidi.
Wakati unapotafuta watoto basi umri wa mwanamume ni muhimu tu kama ule wa mwanamke.
Utafiti huo uliwahoji takriban wanawake 631 walio na umri kati ya 40 na 46 pamoja na wapenzi wao walio na umri kati ya 25 na 70.
Wanawake hao baadaye waligawanywa katika makundi mawili kulingana na iwapo ni wazazi au la.
Watafiti hao wamebaini kwamba wanaume walio na miaka 43 na kuendelea uwezo wao wa kupata watoto uko chini ikilinganishwa na wale wa chini ya umri huo.
Utafiti huo pia umebaini kwamba wanawake wengi huanza kukosa kushika mimba wakiwa na miaka 40 huku wanaume nao wakianza kubahatisha wafikapo miaka 43
                                                                                   



LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Labels

Afya (4) Habari (37) Magazeti (11) Michezo (8) Picha zinazungumza. (6) Sheria (1) Siasa (10) Uhusiano (2)