,,,,
bar
Showing posts with label Michezo. Show all posts
Showing posts with label Michezo. Show all posts
Sunday, 17 May 2015
Sunday, 10 May 2015
Ngasa kujiunga na Free State mwezi July.
Klabu ya Yanga itamkosa mshambuliaji wake, Mrisho Ngassa katika msimu wa ligi kuu na mechi za kimataifa mwakani kufuatia habari za mchezaji huyo kusaini kuchezea klabu ya Free State ya Afrika ya Kusini kwa miaka mitatu.
Simon Msuva arejea Tanzania..... Awakuna mabosi wa Bidvest Wits.
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Simon Msuva amerejea nchini akitokea nchini Afrika ya Kusini alipokwenda kufanya majaribio kwa ajili ya kucheza soka la kulipwa.
Sunday, 3 May 2015
MANNY PACQUIAO: JERAHA LANGU BEGANI NDILO LILILOSABABIHSA KUPOTEZA MCHEZO WANGU DHIDI YA FLOYD MAYWEATHER. FLOYD AWEKA BAYANA SIRI YA USHINDI.
Manny Pacquiao alaumu jeraha la bega alilokuwa nalo kwamba ndicho chanzo cha kupoteza mchezo wake hap oleo alfajiri, dhidi ya mpinzani wake Floyd Mayweather lililofanyika katika uwanja wa Metro Goldlwyn Mayer (MGM) Grand, mjini Las Vegas nchini Marekani.
Wednesday, 29 April 2015
Malinzi aipongeza Yanga.
| Jamal Malinzi, Raisi wa TFF |
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans, Yusuf Manji kufuatia timu yake kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2014/2015.
Thursday, 9 April 2015
Michezo: Taifa stars yajinasibu
![]() |
| Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij |
Licha ya kupangwa katika kundi gumu na timu za Nigeria, Misri na Chad katika michuano ya kuwania kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika 2017 nchini Gabon, kocha wa timu ya taifa ya hapa Tanzania, Mdachi Mart Nooij amesema timu yake haiziogopi timu hizo.
Tuesday, 7 April 2015
Michuano ya CHAN makundi yapangwa
![]() |
| Timu ya Uganda, The Cranes |
Tanzania itachuana na Uganda wakati Kenya itakipiga na Ethiopia katika michuano ya kufuzu ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) kufuatia ratiba ya michuano hiyo iliyotolewa na Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika, (CAF),
Mechi hiyo ya awali itachezwa kati ya Juni 19-21 wakati ile ya marudiano itachezwa kati ya July 3-5 mwaka huu.Fainali za CHAN zitafanyika nchini Rwanda kuanzia January 16 mpaka February 7, 2016.
Michuano hiyo, kwa mujibu wa ratiba ya CAF, itashirikisha timu 42, ambazo zitashindana katika kanda 6 na fainali zake zitachezwa na nchi 16 tu wakiwemo timu mwenyeji.
Uganda kwa sasa ipo nafasi katika nafasi ya 84 ya viwango vya FIFA, wakati Tanzania ipo nafasi ya 100.
Ratiba ya kufuzu ya CHAN ni kama ifuatavyo:
Kanda ya Magharibi A.
Guinea Bissau vs Mali
Mauritania vs Sierra Leone
Guinea vs Liberia
Senegal vs Gambia
Kanda ya Magharibi B
Ghana vs Ivory Coast
Nigeria vs Burkina Faso
Niger vs Togo
Kanda ya kati
DR Congo vs Jamhri ya Kati (CAR)
Cameroon vs Congo
Chad vs Gabon
Kanda ya Kati Mashariki
Hatua ya awali
Tanzania vs Uganda
Djibouti vs Burundi
Ethiopia vs Kenya
Kanda ya Kusini
Zimbabwe vs Visiwa vya Comoro
Lesotho vs Botswana
Namibia vs Zambia
Msumbiji vs Seychelles
Afrika ya Kusini vs Mauritius
Swaziland vs Angola
Kanda ya Kaskazini
M1 Libya vs Tunisia
M2 Morocco vs Libya
Subscribe to:
Posts (Atom)


