,,,,
bar
Showing posts with label Habari. Show all posts
Showing posts with label Habari. Show all posts
Monday, 18 May 2015
Sunday, 17 May 2015
Kutokana na maneno ya mashabiki wa wasanii mitandaoni, Uwoya aonya.
Kufuatia kitendo cha baadhi ya mashabiki kuwashambulia mastaa kwenye kurasa zao mitandaoni kushamili, Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ameibuka na kuweka angalizo hili kwa followers wake.
Wednesday, 13 May 2015
Breaking News: Raisi wa Burundi, Pierre Nkurunzinza apinduliwa.
17:22 Redio ya taifa ya Burundi inasema kuwa rais Nkurunzinza angali Madarakani na kuwa hakujakuwa na ''mapinduzi''
Waziri auawa kwa kusinzia mbele ya rais!
Idara ya ujasusi ya Korea Kusini imesema kuwa waziri wa ulinzi wa Korea Kaskazini ameuawa kwa kutokuwa muaminifu kwa kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong-un.
Raia wa Burundi watoa ya moyoni.

Marais Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana leo jijini Dar Es Salaam kujadili mgogoro wa kisiasa unaendelea nchini Burundi.
Sunday, 10 May 2015
Saturday, 9 May 2015
Sakata la Escrow: IKULU Yasema Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini Ndugu Eliakim C. Maswi Hana HATIA.

MATOKEO YA UCHUNGUZI WA AWALI KUMHUSU NDUGU ELIAKIM C. MASWI, KATIBU MKUU, WIZARA YA NISHATI NA MADINI
_________________________________________________
Ni Membe au Lowasa? Jibu ni May 20 mwaka huu!
Filimbi ya kuanzisha mbio za urais kwa tiketi ya CCM itapulizwa Mei 23 baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho tawala, huku makada sita walio ‘kifungoni’ wakitarajia kujua hatima yao kwenye mbio hizo Mei 20.
Monday, 4 May 2015
Saturday, 2 May 2015
Rais Kikwete Aahidi Kuwaongezea Mishahara Wafanyakazi.....Awashangaa UKAWA, Asema kwa Nini Wamepagawa? Asema Hakusudii Kuongeza Muda wa Kukaa Ikulu

RAIS Jakaya Kikwete ameahidi kuongeza mishahara ya wafanyakazi kuanzia Julai mwaka huu, ili walau kima cha chini kikaribie Sh 315,000 ambazo Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limekuwa likiipigia kelele kwa muda mrefu.
News: Bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB), imeanza kupokea maombi ya mikopo ya wanafunzi, kwa mwaka 2015/2016.

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) jana (Ijumaa, Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2015/2016 unaotarajiwa kuanza miezi michache ijayo.
Breaking News: Raisi Kikwete afuta ada shule za Sekondari.
HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete ametimiza ahadi yake aliyoitoa Agosti mwaka jana katika Chuo Kikuu cha Mzumbe cha Morogoro, kwamba amekusudia kufuta ada ya shule za sekondari nchi nzima.
Friday, 1 May 2015
Sarafu ya shilingi 500 yahujumiwa, yawa adimu na kuuzwa kwa Sh. 2,500 mpaka 5000, yatumika kutengeneza Mikufu. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yatoa tamko.

SARAFU mpya ya shilingi 500 inadaiwa kuhujumiwa na baadhi ya watu ambao huinunua kwa Sh 2,500 na baadaye kuiyeyusha kwa ajili ya kutengenezea mikufu ya fedha (silver).
Thursday, 30 April 2015
TAARIFA YA UKAWA KWA UMMA: WAIBUA HOJA ZIFUATAZO: UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 LAZIMA, KIKWETE ASIONGEZEWE MUDA, KURA YA MAONI BAADAE.
Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) leo vimetoa msimamo wao juu ya njama za kuahirisha Uchaguzi Mkuu unaotakiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. UKAWA imesisitiza kwamba kuahirisha Uchaguzi Mkuu huo ni sawa na kumuongezea Rais Jakaya Kikwete na Chama chake cha Mapinduzi muda wa kuendelea kutawala Tanzania.
Ikulu yatoa tamko kuwepo kwa njama za kutaka kumdhuru Dr. Reginald Mengi zilizodaiwa kuandaliwa na rais Jakaya Kikwete

Ikulu imekana kuwapo njama zozote za kutaka kumuangamiza Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, zilizodaiwa kuandaliwa na Rais Jakaya Kikwete, kwa kile kilichodaiwa kuwashughulikia wanaoihujumu serikali yake na kupanga kumshughulikia.
Subscribe to:
Posts (Atom)










