Ilikuwa ni habari ya kushtusha pale mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva Tanzania, Lady Jay Dee alipoweka hadharani kwamba ameachana na mume wake, 'presenta' wa redio Gadna Habash.
Akihojiwa katika kipindi cha Mambo Mseto, katika kituo cha Citizen nchini Kenya, alipoulizwa swali na mtangazaji wa kituo hicho Mzazi Willy Tuva, juu ya kwa nini alichukua uamuzi huo, alieleza "....nimevunja uhusiano na mume wangu kwa sababu alikuwa laghai na mlevi, na hata hivyo kazi nyingi nimekuwa nikifanya mimi"
No comments:
Post a Comment
TUNAOMBA MAONI YAKO JUU YA HII HABARI HAPA CHINI