,,,,

bar

Friday, 10 April 2015

Picha: Ziara ya kwanza ya Zitto Zuberi Kabwe Mjini Songea aliyoifanya leo tarehe 10 Aprili, yafana, umati mkubwa wajitokeza. Tazama picha>>



Kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Tanzania, Zitto Zuberi Kabwe akiwahutubia wananchi wa Songea.


Zitto Kabwe kiongozi wa ACT-Tanzania na viongozi waandamizi wa chama hicho wakiwasili Mjini Songea.

Viongozi wa ACT-Tanzania

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Seleman Msindi 'Afande Sele" akiwasalimia makutano walihudhuria mkutano huo Mjini Songea.


Wana-Songea wakiliza sera na hotuba kutoka kwa viongozi wa ACT-Tanzania.

Wanahabari wakipata mawali matatu katika yale maswali ya 'live', kutoka kwa viongozi wa ACT-Tanzania.

Mwenyekiti wa ACT-Tanzania taifa, Anastazia Mghwira akihutubia wananchi wa Songea.


No comments:

Post a Comment

TUNAOMBA MAONI YAKO JUU YA HII HABARI HAPA CHINI

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Labels

Afya (4) Habari (37) Magazeti (11) Michezo (8) Picha zinazungumza. (6) Sheria (1) Siasa (10) Uhusiano (2)