,,,,

bar

Saturday, 30 May 2015

Siasa: Hotuba ya Edward N. Lowassa, katika mkutano wa kutangaza nia ya kuwania kiti cha Uraisi kwa tiketi ya CCM, aliyoitoa leo katika viwanja vya Sheik Amri Abeid Jijini Arusha.




UTANGULIZI:

Ndugu zangu wana-CCM na Watanzania wenzangu,

Hii ni siku muhimu kwangu na kwa nchi yetu. Leo nimeamua kuwaita ili kuwatangazia rasmi Watanzania wenzangu azma yangu ya kutaka kuomba ridhaa ya chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), niweze kuteuliwa kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Sunday, 17 May 2015

Tazama picha za Kiongozi Mkuu wa ACT - WAZALENDO, Zitto Kabwe alivyopigwa na mvua wakati akiwahutubia makutano katika Mkoa wa njombe.

Kutokana na maneno ya mashabiki wa wasanii mitandaoni, Uwoya aonya.


Kufuatia kitendo cha baadhi ya mashabiki kuwashambulia mastaa kwenye kurasa zao mitandaoni kushamili, Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ameibuka na kuweka angalizo hili kwa followers wake.

Lowassa Alitikisa Jiji La Arusha.....Mitaa Yafungwa, 'Safari ya Matumaini' Kutangazwa Rasmi Mei 24 Mwaka huu.

Shughuli mbalimbali jijini Arusha jana zilisimama kwa muda wakati umati wa watu ulipofurika kumlaki Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa aliyewasili mkoani hapa kwa ajili ya kuendesha harambee ya ujenzi wa Msikiti wa Patandi ulioko wilayani Arumeru.

Wednesday, 13 May 2015

Breaking News: Raisi wa Burundi, Pierre Nkurunzinza apinduliwa.


Raia wanasherehekea ''kupinduliwa'' kwa Nkurunzinza

17:22 Redio ya taifa ya Burundi inasema kuwa rais Nkurunzinza angali Madarakani na kuwa hakujakuwa na ''mapinduzi''

Kibonzo.



Bomba.Com

Waziri auawa kwa kusinzia mbele ya rais!


Idara ya ujasusi ya Korea Kusini imesema kuwa waziri wa ulinzi wa Korea Kaskazini ameuawa kwa kutokuwa muaminifu kwa kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong-un.

Raia wa Burundi watoa ya moyoni.

Marais Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana leo jijini Dar Es Salaam kujadili mgogoro wa kisiasa unaendelea nchini Burundi.

Mafuriko: Jiji la Dar es Salaam lachafuka..... Barabara zafungwa.


Mvua zinazonyesha sasa jijini Dar es Salaam na takribani nchi zima zimeharibu kabisa mitaa na barabara za jiji la Dar es Salaam, kiasi cha kuhatarisha maisha ya wakazi wake. TAZAMA PICHA>>>

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba, apewa 'mafuta ya upako' wa Uraisi.

Askofu Mkuu wa Kanisa la General Mission Center Limited (GMCL) la jijini hapa, Nabii David Mpanji juzi alimkabidhi mafuta ya upako, Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba kwa ajili ya kung’arisha nyota yake katika harakati zake za kuwania urais.

Magazeti: Habari katika magazeti ya leo Jumatano May 13, 2015

Sunday, 10 May 2015

Ngasa kujiunga na Free State mwezi July.

Klabu ya Yanga itamkosa mshambuliaji wake, Mrisho Ngassa katika msimu wa ligi kuu na mechi za kimataifa mwakani kufuatia habari za mchezaji huyo kusaini kuchezea klabu ya Free State ya Afrika ya Kusini kwa miaka mitatu.

Simon Msuva arejea Tanzania..... Awakuna mabosi wa Bidvest Wits.

Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Simon Msuva amerejea nchini akitokea nchini Afrika ya Kusini alipokwenda kufanya majaribio kwa ajili ya kucheza soka la kulipwa.

Hotuba ya Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi, CUF na Makamu wa Kwanza wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, alipokuwa akiongea na vyombo vya habari jana Tarehe 10 May Serena Hotel, Dar es Salaam.

Ndugu zangu Wahariri na Waandishi wa Habari,
Assalam Alaykum.
Awali ya yote, hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kutujaalia kukutana wakati huu katika eneo hili kwa ajili ya mkutano huu maalum na waandishi wa vyombo mbali mbali vya habari vya ndani na nje ya nchi.

Habari zlizopo kwenye magazeti ya leo Jumapili, May 10, 2015.

Urais CCM waiweka pabaya Kamati Kuu.....Yadaiwa Inafanya Upendeleo Kwa Baadhi ya Wagombea

Mbio za urais ndani ya CCM sasa zimefikia pabaya baada ya kuibuka hofu ya kuwapo kwa mpango wa kuivuruga Kamati Kuu kabla ya haijakutana kuchuja majina ya makada watakaotakiwa kupigiwa kura na Halmashuri Kuu ili kumpata mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu.

Saturday, 9 May 2015

Sakata la Escrow: IKULU Yasema Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini Ndugu Eliakim C. Maswi Hana HATIA.


MATOKEO YA UCHUNGUZI WA AWALI KUMHUSU NDUGU ELIAKIM C. MASWI, KATIBU MKUU, WIZARA YA NISHATI NA MADINI
_________________________________________________

Ni Membe au Lowasa? Jibu ni May 20 mwaka huu!

Filimbi ya kuanzisha mbio za urais kwa tiketi ya CCM itapulizwa Mei 23 baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho tawala, huku makada sita walio ‘kifungoni’ wakitarajia kujua hatima yao kwenye mbio hizo Mei 20. 

Sunday, 3 May 2015

MANNY PACQUIAO: JERAHA LANGU BEGANI NDILO LILILOSABABIHSA KUPOTEZA MCHEZO WANGU DHIDI YA FLOYD MAYWEATHER. FLOYD AWEKA BAYANA SIRI YA USHINDI.

Floyd Mayweather and Manny Pacquiao

Manny Pacquiao alaumu jeraha la bega alilokuwa nalo kwamba ndicho chanzo cha kupoteza mchezo wake hap oleo alfajiri, dhidi ya mpinzani wake Floyd Mayweather lililofanyika katika uwanja wa Metro Goldlwyn Mayer (MGM) Grand, mjini Las Vegas nchini Marekani.



Saturday, 2 May 2015

Chriss Brown - Don't wake me up

Bomba.Com

Rais Kikwete Aahidi Kuwaongezea Mishahara Wafanyakazi.....Awashangaa UKAWA, Asema kwa Nini Wamepagawa? Asema Hakusudii Kuongeza Muda wa Kukaa Ikulu



RAIS Jakaya Kikwete ameahidi kuongeza mishahara ya wafanyakazi kuanzia Julai mwaka huu, ili walau kima cha chini kikaribie Sh 315,000 ambazo Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limekuwa likiipigia kelele kwa muda mrefu.

Teknolojia: Kama unakerwa na ukatikaji wa mara kwa mara wa umeme wa TANESCO, hili ni suluhisho>>>


Betri ya Kawi ya Tesla.
Kampuni ya Tesla Motors, inayounda betri ya gari, imetangaza kuwa, ina mpango wa kuuza teknolojia ya betri yenye uwezo wa kuzalisha kawi ya matumizi majumbani na kwenye biashara mbalimbali.

News: Bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB), imeanza kupokea maombi ya mikopo ya wanafunzi, kwa mwaka 2015/2016.


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) jana (Ijumaa, Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2015/2016 unaotarajiwa kuanza miezi michache ijayo.

Lady Jay Dee: Mume wangu alikuwa Mvivu, Mlevi na Laghai>>>


Ilikuwa ni habari ya kushtusha pale mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva Tanzania, Lady Jay Dee alipoweka hadharani kwamba ameachana na mume wake, 'presenta' wa redio Gadna Habash.

Inatisha: Hali ilivyo Burundi kwa sasa, Watu wakimbia miji yao>>>>

Breaking News: Raisi Kikwete afuta ada shule za Sekondari.




Tokeo la picha la shule za sekondari images

HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete ametimiza ahadi yake aliyoitoa Agosti mwaka jana katika Chuo Kikuu cha Mzumbe cha Morogoro, kwamba amekusudia kufuta ada ya shule za sekondari nchi nzima.

Mgawanyo wa majimbo UKAWA, CHADEMA wapata 50% ya majimbo yote wakifutiwa na CUF 35%..... Vita ya maneno yaibuka, CUF wadaiwa kuwa na undungu na CCM.

WAKATI ugawaji wa majimbo 211 ukikamilika kwa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), imebainika kwamba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeibuka na asilimia 50 katika majimbo hayo.

Picha zinaongea: NI NOMAAA! Zari white Party Mlimani city. Tazama picha.


Tazama picha mbalimbali za sherehe ya Zari the 'The Boss Lady' White Party iliyofanyika jana usiku katika ukumbi wa Mlimani City.

Magazeti: Soma habari zilizogonga vichwa vya magazeti ya leo Jumamosi, May 02, 2015

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Labels

Afya (4) Habari (37) Magazeti (11) Michezo (8) Picha zinazungumza. (6) Sheria (1) Siasa (10) Uhusiano (2)